USALAMA WA BIDHAA
kwajili ya uhakika wa asali ya Napur,tazama ndani ya kifuniko chake kina kithibitisho cha ubora kinachong'aa kama inavyo onekana kwenye picha hapo chini,pia ukifungua kifuniko katika tundu nla kutolea asali utaona kithibitisho hicho,kwa nje kifuniko hubanwz na security seal kwajili ya kukuhakikishia mteja ubora na usalama wa asali iliyomo ndani ya chupa husika.Pindi utakapo ona tofauti na hivyo basi asali hiyo siyo bidhaa ya Napur,na ripoti kwetu kwa mawasiliano yetu kama yanavyo onekana kwenye lebo ya chupa na kwenye mtandao huu.
Huo ndiyo mwonekano wa alama ya ubora wa bidhaa ya Napur ndani ya kifuniko.
Bidhaa ikiwa imefungwa kwa mfuniko huo,ukifungua kifuniko hicho na kukutana na kitundu cha kutolea asali utakutana na mwonekano huo hapo.





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni